RPC wa Njombe Hamis Issa amesema,gari namba T457 DAB Toyota Gaiya ya George Sanga mgombea udiwani kata ya Ramadhani (CHADEMA) ilitumiwa wakati wa utekelezaji wa mauaji ya Kada wa CCM Emmanuel Mlelwa kutokana na kukutwa mkanda wa kiunoni wa marehemu baada ya gari hiyo kushikiliwa.
Tags
BREAKING NEWS