Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania JOHN MAGUFULI amemteua Profesa Matthew Luhanga kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe. Profesa Luhanga anashika wadhifa huo kwa kipindi cha pili na uteuzi wake umeanza rasmi leo Septemba 30, 2020.
Tags
UCHAGUZI