PANYA ATUNUKIWA DHAHABU

 


Panya wa kiume kutoka Tanzania, Magawa ametunukiwa nishani ya dhahabu kutokana na uwezo wake wa kubaini mabomu ya kutegwa ardhini Cambodia, Magawa alizaliwa Tanzania Nov 5,2014 akiwa na uzani wa KG 1.2  na urefu wa Sentimita 70 “amenusa mabomu 39 na silaha 28”



#MillardAyoUPDATES



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form