Mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni kupitia ACT WAZALENDO Saed Kubenea, amesema kuwa licha ya kukumbwa na matatizo lakini bado yupo imara na kesho Sept 27, 2020, atazindua rasmi kampeni zake, huku akidai kuwa atahakikisha anashinda kwa sababu hajawahi kushindwa.
Tags
UCHAGUZI