JESHI LA POLISI LAKATAA MADAI YA MSAFARA WA TUNDU LISU KUVAMIWA

 Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya, William Mkonda amekanusha uvumi kuwa msafara wa mgombea Urais kupitia Chadema, Tumepigwa mabomu eneo la Nyamongo, amesema mabomu yalipigwa kutawanya wafuasi waliokuwa wakiwashambulia askari wa jeshi hilo.



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form