MJUMBE WA NEMC ASHIRIKI SHUGHULI ZA KIJAMII

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, (MNEC) Mussa Mwakitinya na Mgombea ubunge Viti maalum kupitia kundi la Vijana, Asia Hamalaga wakishirikina na wananchi katika shughuli za kijamii ikiwemo kuosha vyombo msibani katika kata ya Kagongo iliyopo katika Jimbo la Kigoma Kaskazini.




Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form