Baadhi ya mashabiki wa soka wameamua ku-Unfollow mtandao wa Instagram wa Aston Villa na wengine wakiendelea kufanya hivyo kadiri muda unavyokwenda.
Kitendo hicho kimekuja baada ya Mshambuliaji wa Tanzania Mbwana Samatta kutangazwa kujiunga na klabu ya Fenerbahce ya nchini Uturuki.
Tags
SPORTS