"Nimeona pahala fulani, yule mgombea anasema ooh mbona Waziri Mkuu anazunguka kila mahali, niliposikia hivyo nikajua tayari dawa imeshaingia mahali pake. Waziri Mkuu ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM. Kazi yake ni kusafisha eneo lilichofuliwa, kuweka nuru na kuondoa giza" HUMPHREY POLEPOLE
Tags
UCHAGUZI