MADAKTARI WAPATA OFA SHIRIKA LA NDEGE

 

Shirika la Ndege la Kenya (KQ) limetangaza ofa kwa wahudumu wa afya ambapo sasa watasafiri kwenda sehemu yoyote duniani kwa nusu nauli ikiwa ni kutambua mchango wao katika kukabiliana na virusi vya corona. Ofa hiyo ni kwa madaraja yote (business na economy).


 

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form