ZARI AACHIA PICHA ZA BIRTHDAY YAKE

 Leo mrembo Zari The Bosslady anasherekea miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake.

            


Kwa mujibu wa mtandao Zari anatimiza umri wa miaka 40, mrembo huyo alizaliwa September 23, 1980 Jinja nchini Uganda.

           


Chini ni picha alizozichapisha Zari leo kwenye mitandaoni yake ya kijamii kwa ajili ya siku hii muhimu kwake.



Ikumbukwe Zari The Bosslady ambaye ni rais wa Uganda anaishi na familia yake nchini Afrika Kusini na amejizolea umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii eneo la Afrika Mashariki, huku akiwa na wafuasi (followers) zaidi ya Milioni 8.2 kwenye mtandao wa Instagram pekee.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form