DORTMUND YATHIBITISHA KUWAKOSA NYOTA WAKE KATIKA MCHEZO HAPO KESHO

 Klabu ya Borussia Dortmund imethibitisha kuwa winga Jadon Sancho na kipa Roman Burki watakosa mchezo wa Kombe la Super Cup Jumatano hii dhidi ya Bayern Munich kutokana na kuwa na shida ya kupumua. Wawili hao wamepimwa ugonjwa wa Corona na kukutwa hawana maambukizi.





Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form