Wananchi wa Kijiji cha Sudi kata ya Mirare Wilayani Rorya Mkoani Mara wamemwomba mgombea ubunge jimbo la Rorya kwa tiketi ya CCM, Jafari Chege kushugulikia changamoto ya wizi wa mifugo endapo akichaguliwa kuongoza jimbo hilo.
Tags
UCHAGUZI