"Nimeruhusiwa kutoka hospitali.Nawashukuru madaktari na wauguzi Kituo cha Afya Kalya-Uvinza, Hospitali ya Maweni Kigoma na Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam.Asanteni sana wote kwa Dua,Sala na maombi yenu.Nataraji kurudi kwenye kampeni siku chache zijazo In Sha Allah"Zitto Kabwe
Tags
BREAKING NEWS