Mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu anatarajia kuendelea na kampeni zake mkoani Singida baada ya adhabu ya siku saba aliyokuwa amepewa kumalizika Oktoba 9, 2020. Lissu alifungiwa kufanya kampeni kwa siku saba kutokana kukiuka maadili ya uchaguzi.
Tags
UCHAGUZI