Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo Ijumaa Septemba 2, limesitisha wito wa kumtaka mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Chadema), @TunduALissu kufika kituo cha polisi na badala yake kuendelea na ratiba za kampeni za uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Tags
UCHAGUZI