Wahamiaji haramu 6 waliokuwa wameweka kambi katika Makabuli ya Kipagamo nje kidogo ya mji wa Makambako Mkoani Njombe wamekamatwa na kikosi cha uhamiaji mkoani Njombe wakitokea Ethiopia.Huku watanzania 2 wakishikiliwa kwa tuhuma za usafirishaji wa raia wa kigeni kinyume na sheria
Tags
BREAKING NEWS