Kiungo mshambuliaji wa Arsenal, Mesut Ozil amekataa ofa ya kujiunga na moja ya klabu ya nchini Saudi Arabia kwa sababu ya ukaribu wake na Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan. Ozil alipewa ofa ya Dola Milioni 20 kwa mwaka ili ajiunga na klabu hiyo ambayo haijatajwa jina.
Tags
SPORTS