AJALI YA GARI YAONDOKA NA UHAI WA KIJANA MASUD

Mtoto Masud Abdallah Naumo mwenye umri wa miaka mitano (5) mkazi wa Kijiji cha Mbawala Juu Mkoani Mtwara, amegongwa na gari (lilokuwa linatoka Mtwara kuelekea Newala) na kufariki hapo hapo jioni hii, Daktari amethibitisha kifo hicho. 

#Jamii FM Radio



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form