Mohammed Aboud Mohammed amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM
>>Awa mwanachama wa 20 wa chama hicho kujitosa ktk kinyang'anyiro hicho.
>>Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Mohammed Aboud Mohammed amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi.