Aina mpya ya mafua ambayo inaweza kuwa janga kubwa la kiafya imegunduliwa na Wanasayansi nchini humo. Mafua hayo ni aina mpya ya virusi na kutokana na hilo, inawezekana binadamu wana kinga mwili ndogo ya kupambana nayo au hawana kabisa
Imeelezwa kuwa mafua hayo yapo kwa nguruwe lakini binadamu wanaweza kuambukizwa. Wanasayansi hao wana hofu kwamba mafua hayo yanaweza kusambaa kirahisi na kusababisha mlipuko
Hata hivyo, Watafiti wamesema mafua hayo yanaweza yasiwe tatizo kwa sasa japokuwa suala hilo linahitaji uangalizi wa karibu kwasababu binadamu wanaweza kuambukizwa