MEMBE: TUNAFANYAJE UCHAGUZI BILA TUME HURU NA WAANGALIZI WA KIMATAIFA?
byomie digital-
Adai sasa Ma-DC, RC na DED wamejawa hofu ya kupoteza nafasi zao iwapo mtu wa Upinzani atashinda uchaguzi
Ahoji utayari wa kuwa na Uchaguzi usio na waangalizi wa Kimataifa