ZANZIBAR KUFUNGUA SHULE NA SHUGHULI ZA KIJAMII JUNI 29. >>Soma zaidi>>

Raisi wa zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametangaza rasmi kufunguwa skuli zote nchini pamoja na shughuli za kijamii kuanzia Juni 29 baada ya kupunguwa kwa kasi ya maradhi ya covid-19 Nchini .

Akizungumza katika hutuba ya kulivunja baraza la wawakilishi la tisa huko Chukwani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar amesema hatua hiyo inapaswa kwenda sambamba na tahadhari kubwa ya ugonjwa huo ili maradhi hayo yasirejee tena Nchini .

Dr Shein ameiyagiza Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kuaandaa mpango utakao zingatia kukabiliana na wimbi kubwa la Wanafunzi pamoja na vifaa vya skuli ili kuepusha kuenea kwa kasi kwa maradhi hayo .

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form