>>>Soma zaidi>>>
Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini Tanzania leo wanarejea shuleni kuendelea na masomo baada ya shule zote kufungwa kwa zaidi ya miezi mitatu ikiwa ni sehemu ya hatua zilizochukuliwa na serikali katika kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona. #COVID19