KATIBU MKUU DKT. JINGU AKUTANA NA TIMU YA WATAALAM WA CIMA RESEARCH FOUNDATION



Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. John Jingu akizugumza  wakati wa kikao  alipokutana na timu ya Wataalam wa CIMA Research Foundation wanaorasimisha mfumo wa MYDEWETRA kwa ajili ya tahadhari ya  mapema  kabla ya maafa kutokea kilichofanyika Ukumbi wa Ofisi hiyo  Oktoba 06, 2022 Jijini Dodoma.

 

Mtafiti kutoka  Taasisi ya CIMA Foundation Bi. Anna Mapelli akieleza jambo  wakati wa kikao hicho.

 

Mtafiti wa Taasisi ya CIMA Foundation Bw. Antonio Libroia akiwasilisha hoja kuhusu utekelezaji wa mfumo wa MYDEWETRA kwa ajili ya tahadhari ya mapema walipokutana Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dodoma Oktoba 06, 2022.

 Baadhi ya Wajumbe  wakifuatilia kikao cha kupokea taarifa ya Wataalam wa CIMA Research Foundation wanaorasimisha mfumo wa MYDEWETRA kwa ajili ya tahadhari ya  mapema walipokutana Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dodoma Oktoba 06, 2022  

 

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form