WADAU WAKUTANA KUJADILI AFUA YA AFYA MOJA

 






Na Mwandishi wetu-Dodoma

Kikao cha Uchambuzi wa Gharama na Manufaa ya Utekelezaji wa Dhana ya Afya Moja nchini ambayo lengo lake ni kukabiliana na magonjwa yanayowakumba bindamu, wanyama na mimea.

 


Kikao hicho kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia Septemba 8 hadi 9 mwaka huu  kilifunguliwa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Luteni Kanali Selestine Masalamadu na kuhudhuriwa na  wadau mbalimbali wa maendeleo.

 Aidha  kinalenga kufanya uchambuzi huo ili kuonesha thamani yake na kuvutia uwekezaji wa rasilimali kutoka kwa serikali na wadau mbalimbali wa afya moja.

 



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form