SIMBACHAWENE APONGEZA UTEKELEZAJI WA OPERESHENI ANWANI ZA MAKAZI KIBWAKWE

 


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. Geroge Simbachawene akizungumza na wananchi wa kata ya Pwaga na Luhundwa alipotembelea na kufanya mikutano ya hadhara katika jimbo la kibwakwe Halmashauri ya Mpwapwa.



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. Geroge Simbachawene akikagua utekelezaji wa Operesheni anwani Makazi katika Kijiji cha Mpwanila kata ya Luhundwa katika jimbo la Kibakwe Halmashauri ya Mpwapwa.



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. Geroge Simbachawene akikagua utekelezaji wa Operesheni anwani Makazi katika Kijiji cha Ikuyu kata ya Luhundwa katika jimbo la kibakwe halmashauri ya Mpwapwa.

 



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form