Mmoja wa Wanajeshi wa Marekani ambaye anafanya kazi Ikulu ya Nchi hiyo(White House) amebainika kuwa na corona, Mwanajeshi huyo Mwanaume ni miongoni mwa wasaidizi wa Rais Trump Ikulu ambao wanashughulika na usalama wa chakula cha Trump na Familia yake na huwa wanasafiri na Trump
Tags
BREAKING NEWS