#Habari:Jumuiya ya Afrika Mashariki imenunua mashine maalumu za kuchunguza virusi vya magonjwa hatari yanayoambukizwa kwa njia ya virusi ukiwemo wa Ebola na Corona ambazo zitapelekwa kwa nchi wanachama zote. byomie digital -Friday, February 14, 2020